Duration 42:25

JINSI YA KUISHI NA WATU WAKOROFI

9 068 watched
0
221
Published 28 Dec 2021

Leo tumepata mgeni mwanasaikolojia na mwandishi wa vitabu bwana Said Kasege ambaye amejadiliana na Ezden Jumanne juu ya namna sahihi ya kuishi na watu wakorofi katika jamii zetu. Interview hii ilikuwa LIVE na watazamaji/ wafuatiliaji walipata nafasi ya kushiriki kwa kuuliza maswali moja kwa moja wakati wa session. . Session hii ya LIVE itakuwepo kila wiki siku ya Jumapili kuanzia saa 9 kamili mpaka 10 kamili na kutakuwa kuna mijadala mbalimbali ya saikolojia itakayotusaidia kujifahamu zaidi na kufahamu mazingira yetu na wale wanaotuzunguka. . Tuandikie kwenye comments nini umejifunza katika somo hili na kama kuna mifano inayoendana na somo hili tafadhali tushirikishe na sisi tujifunze toka kwako, each onr teach one! Karibu. . LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE . SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine: HAMASA YA LEO👇🏽 /hamasayaleo . JE WAJUA?👇🏽 /channel/UCOfv3yx9Xbq5hqbrOIMrOBQ . VOICE-OVER CHANNEL👇🏽 /channel/UCdkOcHpLVsxSvgNYBBq7_Aw . TUWASILIANE ZAIDI HAPA: Kwa mahitaji ya kuweka tangazo lako kwenye channel hii. Kama unahitaji Voice-over (English & Swahili). Kujiunga na group la vitabu (Whatsapp & Telegram). Kuwasiliana na Ezden Jumanne kwa huduma zaidi. SIMU: (+255) 759 191 076 EMAIL: ezdenjumanne@gmail.com . . #watu #wakorofi #Live

Category

Show more

Comments - 43