Duration 9:27

INATISHA: DADA WA KAZI ZA NDANI AELEZEA BOSI WAKE ALIVYOKUWA AKIFUGA MSUKULE NDANI. (PART 01)

797 933 watched
0
2.8 K
Published 9 Sep 2019

USISAHAU KU SUBSCRIBE CHANELI YETU PENDWA YA KIKI TV ONLINE

Category

Show more

Comments - 315
  • @
    @elishaezekieldotto54674 years ago Daa story iko poa sana, mwendelezo wapi sas. 3
  • @
    @charlesleetheory48215 years ago It' s life my sis, only god know de feature. 1
  • @
    @iffahbahet14995 years ago Watanzania mnapenda story za ajabu tu. 24
  • @
    @adamumsafiri92575 years ago Kwa mara ya kwanza ya nimesikia story ambayo ni ya kweli kwa wale wafatiliaji wa vipindi vya Radio hasa E FM kuna kipindi kinaitwa UBAONI kwenye session ya REPORT YA LEO mida ya saa ndiyo nilisikia huyu dada anasimulia hadi mwisho hiki kisa kilichotokea kwenye maisha yake. .. ...Expand 2
  • @
    @mariamfritsi97615 years ago Simulizi nzuri sana tuleteeni pt 2 tafadhali inasisimua na mdada ni hodari wa kuelezea. 6
  • @
    @sharonke74425 years ago Kwa upuuzi sitowahi fungua video zenu maana sio vizuri kuharibu bundle tu na hammalizi. 2
  • @
    @faridabakari85115 years ago History yakutunga tamu ila imekatiza utam hahahah part zingine lini. Ama niendeleza. 3
  • @
    @gracejohn9033 years ago Yani utajiri wa kishetani una masharti, shida yote ya nini? Ebu watu wampe yesu maisha yao, kisha tufanye kazi halali, ipo siku mungu atabariki mno na baraka za mungu hazina majuto.
  • @
    @TeamKRX5 years ago Jamani umbeya umenishika nuendelezo nataka. 4
  • @
    @barbrakisambira76625 years ago Mbona story mmemuweka miss uganda 2018 na speaker wa uganda. Nao ni sehemu ya msukule uliokutana nao? 1
  • @
    @emacuteeemacutee35285 years ago Next time mmalizie story c kutuonjesha2 hatapendi jaman. 7
  • @
    @januaryyotham86525 years ago Oyajama kamamnatoa pat1 halafu hamtoi part2 inakuwaje. 7
  • @
    @bongotvonline48834 years ago Mbona mnalalamika muendelezo upo, subscribe chaneli uone. Au andika kichwa cha hiyo story kisha utaona namba 1 hadi mwisho.
  • @
    @MA-kh2lr5 years ago Wee kiki tv mbona ovyo sana. Sasa part two iwapii? Au na nyie mshachukuliwa? 7
  • @
    @shadyaomariy91635 years ago Watu wanapenda story za kutisha muendelezo. 1
  • @
    @awadhirajabu77545 years ago Wadada wengine sijui vipi mshaala anakupa kazi unafanya mambo yake wewe yanakuusu nini nyumba za mjini ziko na mambo mengi sana kikubwa wewe piga kazi . ...Expand 2
  • @
    @alexandrinadomaino98685 years ago Hicho kiswahili kilivyonyooka mhmh wewe mbongo kabisaa. Kastori kakutunga ni kazuri haa ha. 18
  • @
    @nadystyle3395 years ago Hii ni hadithi ya kutunga jina tu la tv ni jibu. Part2 mtaisubiri sana. 11
  • @
    @issahhussein19225 years ago Hii stori haina ukweli ndomana haina muendelezo. 6
  • @
    @marykimani81355 years ago Story poa sana part 2 a good testimony.
  • @
    @luuakil28515 years ago Nacheka peke yangu kea comments.
    story za paukwa na pakawa za abunuwasi hizi.
    3
  • @
    @tamaraseff.97075 years ago Kiki kwel najua tutagoja part b adi tuzeeke na wegn tutoe matiti pia. 2
  • @
    @iliyasamanzi56675 years ago Tangazo tu usome uislamu tutafaidika duniani na akhera. 8
  • @
    @veronicaaugustino52104 years ago Baba ktk jina lak takatifu u2epushie na hili janga -kolona ili 2we naamani 2mekufa kiloho baba saidia 2naukataa huu ugonjwa ha2utaki ktk jina lako takatifu 2naamini unaweza amena.
  • @
    @suddmohamedyyusuf79185 years ago Kwann mwapenda kutuma vipande c mtume nzima. 5
  • @
    @magdalenampanda14265 years ago Sasa nyie mbona mnaudhi na hadithi fupi bila mwendelezo. 2
  • @
    @ramlakitumbi37304 years ago Mmmh wahongo huyu dada namfahamu anauza mkaa kinondoni na alishakuwa na kesi ya kutapeliwa kwenye simu wahongo nyie. 2
  • @
    @severinmmassy76274 years ago Mh ninani alikua anakupiga picha wakati hukua nasim wakala kamera?
  • @
    @issamohammed24585 years ago Nyie hamna stori kuna haja gani kukatwa.
  • @
    @happyjacline9885 years ago Asa mbona umetuishia njiani kilichoendelea ni nin msukule alitoka au.
  • @
    @nurafedrick3785 years ago Hi pombe kumbe iko tz loo hii yaku shere uongosio kazi sioxuri. 2
  • @
    @milermiler15045 years ago We kwa uongo sikuwezi et mshahara laki. 2
  • @
    @salimomarmkapa5 years ago Mi sipendi hivi vistory ambavyo haviishi kwani angeongea yote yaoshe record yake ingepasuka ntk. Part 2 aise. 2
  • @
    @aishaawadhimaloki1975 years ago Yani imeishia patam sijawahi ona duu mwendelezo jamani plz.
  • @
    @emmanuelandrew99415 years ago Izo picha zinahusiana na nn na tukio asa. 2
  • @
    @solangerobloxadoptmir20155 years ago Msukule ni nini jamani kiswahili ya tz na kenya tofauti. 2
  • @
    @mwamba28754 years ago Sasa yeye kiher3he5e chake cha kupika pilau nn.
  • @
    @robertndebate54623 years ago Wafanyakazi wa ndani mkiambiwa msifanye kitu basi fanya safari ya kurudi ulipo toka ili yasikukute mabalaa.
  • @
    @twahaanyoni93685 years ago Part 2 jamani mbona himekua fupi please mwenderezo guys. 1
  • @
    @charlesmapunda59054 years ago Mmm huyu zuga kweli mtu atoke iringa lafudhi hiyo ya kimjinimjini sio ya mtu wa bushi kajipanga kwa story ya kuvutia watu kwenye kikitv yao waxenge.
  • @
    @zubynyaku62695 years ago Wanaona huu niwongo mtupu gonga like hapa. 2
  • @
    @mzuvendi5 years ago Mnajua mtu akiweka clip haina part 2 halafu hajibu comments za wadau ujue ni fake! 2
  • @
    @octaviansimila39655 years ago Msitoe habari nusu kwani haina mahana ya habari hiyo sawa. 2
  • @
    @dreamhighmotivation1215 years ago Bonyeza picha hiyo juu kisha pata utamu wa mauno toka
    tanga, dar, zenji, pwani ni raha sana utaipenda sana subscribe usiipoteze kisha like na share video zetu huku ni nomaa sanaa.
  • @
    @aay29255 years ago Haya naww si uliambiwa usipike pilau kwanini ulipika haya tupeni mwendelezo.
  • @
    @floteakweka54805 years ago Sasa huko mwingine ulikuwa unapachunguza pa nini wakati shida yako ilikuwa ni hela? 1
  • @
    @hafidhally49635 years ago Kama stori ni ya kutunga mutuambie tuwaendelezee palipobaki. 5
  • @
    @ifgodsayyes.nobodycansayno17965 years ago Musituekee mambo nusu nisu twataka fool mzuka ekeni ya 2. 2
  • @
    @felistersmaithya12474 years ago Viungo za kupika pilau ulitoa wapi? Scripted story.
  • @
    @aliceanyango7705 years ago Dadangu mbona hukuenda kula pilau au biriani kulejirani yangu. Lee subscribe kama naezakiona part 2 & 3 watazamaji, hadithi ya huyu mdada nitamu na mboza wametupea nusu yake jameni. 1
  • @
    @kinguburner88635 years ago Mafara nyie wizi mtupu. Sjitakaa nifungue hili kiki lenu.
  • @
    @annelydinda64215 years ago Huyu dada anaonekana anaongea ukweli maana hata sehemu ingine akifikia kama inaogopesha hata sauti inabadilika anakuwa kama anapunguza sauti kama vile yupo sehemu husika kabisa. 1
  • @
    @sammytz44185 years ago Acheni usenge bando langu mtanilipa story ya kutunga.
  • @
    @ragymussa44445 years ago Part 2 iko wap sas wajinga nyie bora hata mcngeweka sas kuliko ku2pa nusu. 3
  • @
    @geendaki76785 years ago Story ya kipumbavu hata hajui kujielezea.
  • @
    @MightyLumber5 years ago Uislam shida jamani. Kwanini ni waislam tu wapendao kufuga majini tena ya kutengeneza toka kwenye quran? 2