MALKIA WA BONGO MOVIE Lulu amefunguka na kusema kuwa huwa akialikwa na Irene Uwoya anafika lakini kiukweli hajui kabisa uzinduzi ni wa nini unaweza kuta Irene Uwoya anaolewa. Nishabebe amefunguka na kusem akuwa anampenda sana Harmonize tatizo ni mfupi.