Duration 3:11

WAZIRI KIGWANGALLA AUMIZWA NA ZINJANTHROPUS Kwanini hatupati Wageni

8 393 watched
0
46
Published 20 Jan 2019

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk.Hamisi Kigwangalla ameihoji Makumbusho ya Taifa kwanini hatupati wageni wengi licha ya kuwa na vivutio vingi ikiwemo Binadamu wa Kwanza ZINJANTHROPUS ambaye hakuna asiyemfahamu duniani.

Category

Show more

Comments - 31
  • @
    @albatrose98655 years ago Tanzania haipendi ghali na VAT juu,jengeni viwanja vya ndege karibu na park mgeni anaweza tua na kutembezwa na kusafiri,anzisheni root ya kilimanjaro seronera,selous na sadani kisha mjenge viwanja wa maana,mnagombea root za mwanza na za ndani na huku mnasema mnataka watalii kwa mfumo uleule. ... 3
  • @
    @jasmineshechambo34015 years ago Ila huyu baba mzur sana ujana wake sijui alikuaje maana hilo jicho mashaallah kwakwel mzur had sasa na mdomo wake pia mashaallah 😎
  • @
    @stevenmwaiko8015 years ago Ndio umepewa dhamana sasa walete wageni sio kulalamika....
  • @
    @seifsaud5 years ago Hata kuwe na vivutio gani mmezidi makodi 1
  • @
    @festokiraryo.61075 years ago We mwenye mamlaka utatue tatizo sasa unamlaumu nani,watumie mabalozi wamtangaze zinjatropasi tupate wageni sisi wanyonge ukitueleza tufanye nini
  • @
    @bilioneabichwa5 years ago Angalia video Kali mpya ya wimbo uitwao usichezee Wakati ,,,,bonyeza picha yangu hapo kushoto unayoiona ,,,God bless you
  • @
    @moringelangas72765 years ago Wekeni utaratibu,mgeni akija kwa ajili ya utalii chai akanywe palipo na ZINJATHROUPAS,Hiyo iwe bure kabisa,wawepo watu wakini wa kumueleza wuth full evidences then ndo aende alukopanga yeye kwenda,next time anakuja na team kubwa kuona hiyo k2. ...
  • @
    @danfordaugustino34615 years ago Hatuna miundombinu mizuri sasa watafikaje kwetu
  • @
    @moringelangas72765 years ago Kama watu wa kutangaza vivutio wanalipishwa pesa nyingi,mnategemea nani atatangaza?zaidi nikishaenda najiselfisha basi narudi nyumbani kupambana na TRA.
  • @
    @husseinseleman28005 years ago angalien na kiingilio cha kutembelea kwenye hivyo vivutio vya wenzetu na kuvitangaza hivyo vivutio nnje ya nchi
  • @
    @josendege85485 years ago sas wewe ndo kiongozi mwenye thamana ya utalii unalalamika na sisi wasakatonge kusaidie nini kwenye zinjaa? 2
  • @
    @festokiraryo.61075 years ago We ndio wazir wa utalii sasa ukituuliza sisi tukujibu nini
  • @
    @dicksonmajaliwa32965 years ago Wewe ndio mwenye dhamana sasa story zanini?kunae kiongozi aliekukataza kuvutia watalii waje kwawingi kutalii.wewe ni doctor nani waziri mwenyedhamana acha stor lete vitendo hizo adithi atupigie zito aliennje na wizara nacwewe ...
  • @
    @HASASON5 years ago Huyu jamaa pimbi nini, hivi hujui kama mambo ya zinjathropus ni uongo wa mzungu kwamba binadamu ametokana na nyani, hiyo ni fake ideology hakuna mambo ya evolution acheni kua mafala, binadamu tomeumbwa na Mungu
  • @
    @pablomufasa845 years ago sasa kiongozi nae analalamika je sisi wananchi wakawaida ambao hatuelewi na maisha haya duniani tufanyaje ikiwa nyie ndio mna dhamana mna uwezo magari mnayo ulinzi maamuzi na kila aina ya mamlaka 1
  • @
    @HASASON5 years ago Huyu jamaa pimbi nini, hivi hujui kama mambo ya zinjathropus ni uongo wa mzungu kwamba binadamu ametokana na nyani, hiyo ni fake ideology hakuna mambo ya evolution acheni kua mafala, binadamu tomeumbwa na Mungu