Duration 2:24

MAAMBUKIZI YASHUKA ITALIA,SUDAN KUSINI YATHIBITISHA KISA CHA KWANZA

421 watched
0
3
Published 6 Apr 2020

Sudan Kusini imeripoti kisa chake cha kwanza cha virusi vya Corona. Nchi hiyo ni moja ya nchi za mwisho za Afrika kuthibitisha uwepo wa ugonjwa wa COVID 19 ndani ya mipaka yake. Akizungumza na waandishi habari mjini Juba makamu wa rais Riek Machar amesema mtu wa kwanza alieambukizwa virusi hivyo ni mwanamke aliye na miaka 29 aliyeingia Sudan Kusini akitokea Uholanzi kupitia Ethiopia tarehe 28 Februari.

Category

Show more

Comments - 0