Duration 7:9

Baada ya Dreamliner kutua, fahamu safari za ndege ATCL

17 102 watched
0
52
Published 8 Jul 2018

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara Shirika la Ndege la ATCL, Patrick Ndekana anaeleza safari zitakazofanywa na ndege za Tanzania hususani baada ya serikali kufanikiwa kununua Ndege Kubwa yenye uwezo wa kubeba abiria 240 kwa wakati mmoja. Rais John Magufuli ameipokea ndege ya Boeing 787-7 Dreamliner katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam

Category

Show more

Comments - 34