Duration 13:39

LIVE​​​​​​​​​​​: NDUGU WAANGUA KILIO MAHAKAMANI, BAADA YA SHAMIMU MWASHA NA MUMEWE KUHUKUMIWA JELA

137 895 watched
0
550
Published 31 Mar 2021

🔴#LIVE​​​​​​​​​​​: NDUGU WAANGUA KILIO MAHAKAMANI, BAADA YA SHAMIMU MWASHA NA MUMEWE KUHUKUMIWA JELA Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi maarufu kama Mahakama ya Mafisadi, Dar es Salaam leo Machi 31, 2021 imewahukumu kifungo cha maisha jela mfanyabiashara Abdul Nsembo (45) na mke wake Shamimu Mwasha (41), kwa kukutwa na makosa ya kusafirisha dawa za kulevya. Nyumba yao pamoja na gari yao aina ya Land Rover Discovery zimetafishwa. Kwa upande wao Shamimu na mumewe wamesema watakata rufaa. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 505