Duration 3:13

Majaribio kwa wanafunzi wa gredi ya 4 na darasa la 8 kuanza Oktoba 21

61 watched
0
1
Published 18 Oct 2020

MAJARIBIO YA WANAFUNZI Wanafunzi wa gredi ya nne, na darasa la nane watafanyiwa majaribio kuanzia Jumatano, Oktoba 21. Hii ni kulingana na ratiba iliyotolewa na baraza la mitihani nchini KNEC. #TV47News

Category

Show more

Comments - 0