Duration 4:57

Lowassa huku usije hatukutaki, ukija unapumzika Musukuma

383 014 watched
0
1.3 K
Published 10 Jan 2018

Baada ya Headlines za Mh. Edward Lowassa Januray 09, kwenda Ikulu kuonana na Rais Magufuli na kupongeza baadhi ya mambo yanayofanywa na Serikali yake awamu ya tano, kuna mengi yamezungumzwa kwenye mitandao, Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma naye ameona kauli za baadhi ya watu kushtushwa na kitendo cha Edward Lowassa kumpongeza Rais Magufuli.

Category

Show more

Comments - 676
  • @
    @fokasiinnocent34486 years ago Msukuma upo vizuri sana na mungu akubariki.
  • @
    @godfreymihumo77666 years ago Nakuelewa sana mwanaharakati mwenzangu.
  • @
    @joycekaaya2046 years ago Msukumabhana! Hatari sana, meza mate basi!
  • @
    @raphaelpaschal78926 years ago Msukuma uko vizuri, mbona wakati wa utawala wa mheshimiwa jakaya mbowe na wenzake walikuwa wanashinda ikulu, leo lowasa ana dhambi gani kwenda ikulu? Waambie hao, hawana ubavu wa kumhoji lowasa. 1
  • @
    @rukiarashid82226 years ago Habari ndio hyo, ujumbe umeshautuma! Kazi kwao kukuelewa au kukubenza.
  • @
    @princesaintnewton41756 years ago Ahsante baba bado mm njooni mnihoji nimalizie shuguli.
  • @
    @sultanvdeo49966 years ago Msukuma upo vzuriii nakukubali sana wape vidonge kaka.
  • @
    @officialkamdudu6 years ago Umeua! Tuone mwenye mbwa kama atang' atwa na mbwa wake.
    dadeki!
    22
  • @
    @saleheinnocent76366 years ago Unaweza kutukana kila mmoja wetu isipokuwa makonda na boss. 3
  • @
    @edinachami17546 years ago Duu! Kweli mbowe mmeiua chadema wenyewe mtamkumbuka dr silaa. 8
  • @
    @methodneka27916 years ago Jamani kumbe chadema iliuzwa. Na hao viongozi ni watumishi wake au? 3
  • @
    @allenmunuo91336 years ago Kidampa hahaha msukuma you made my day. 1
  • @
    @khadijapazia40626 years ago King nimetokea kukupenda sana aisee hasa nikiona ile cm yako.
  • @
    @mercyemmanuel85366 years ago Yap hadi raha ukweli ndiyo huo. Ccm mbele kwa mbele. 2
  • @
    @stewartmillanzi39186 years ago Mmmh. Nilikuwa sijakuelewa vizuri. Kumbe unajichanya tu kwenye maelezo yako.
  • @
    @amosdaudi97936 years ago Hahahahahaha supar mzee baba umewapa ya jandoni.
  • @
    @fadhilimgohamwelu18916 years ago Msukuma nimekuelewa sana na nimekukubali. 26
  • @
    @veronicazacharia20806 years ago Ww una akili kuliko mbowe kasome qt kwanza. 2
  • @
    @damaswatanda38996 years ago Brother me huwa nakuelewa sana punguza ukali wa maneno mzee huko alipo kwenda pamemshinda.
  • @
    @saidwilson65296 years ago Hili shoga kweli eti nalo linajiona linaongea point. 5
  • @
    @babary16906 years ago Huyu ni mzima kweli?
    elimu bure.
    4
  • @
    @marcomasaka47736 years ago Lowasa huo ndo ukomavu wa kisiasa.
    ccm ndiko ulikoanzia na mr president anafanya kazi nzuri na anakaa na watu kupata ushauri nawe lowasa umeliona hili na kukutana na rais.
    big up magufuli!
  • @
    @josephnchunga65546 years ago Uko sawa mbunge wa geita hilo ni genge la wahuni hata ukiwakabizi serikali hao wataipeleka inchi pabaya sana hawafai kuongoza inchi.
  • @
    @shedynanda73936 years ago Mwehu ww hunaakili maana umetumia muda mwingi lakin hueleweki duhh kweli ww nimsukuma kweli. 2
  • @
    @emmanuelnkinga21736 years ago Aah. Mwenye mbwaa hawezi ng' atwa na mbwaa wake.
  • @
    @hakianani20096 years ago Ukweli unauma msukuma wape vidonge vyao mimi mwenyewe chadema dam lakin kwa hili tupe vidonge vyetu tujirekebishe.
  • @
    @joshuaelihuruma26326 years ago Hivi haka kajamaa kanavuta bhangi ya wapi?
  • @
    @sky-wz5zi6 years ago He, msukuma kanichekesha jmn, mwanzo anasema lowasa arudi azikwe kwa heshima. Gafla anasema hamtaki asirudi huko. Halafu msukuma una pumzi sp 360 aise, hupumziki, huhemi wala humezi mate hata kope hukapuii uwih, nimecheka jmn. ...Expand 2
  • @
    @riscaoscar5216 years ago Meza mate basi duuu jamani hyuy baba anaongea sana haaa haya safi.
  • @
    @jisephmaganiko38596 years ago Kweli elimu inamsaindia mtu huyu jamaa mbona ata simuelewi mara joo mara hatukutaki duu geita jaribun kufumbua macho. 7
  • @
    @mwajumakweli67536 years ago Hahahahaha huyu msukuma bhana mbona anachanganya mada mala oh arudi tu mala ooh akae huko du. Kweli huyu msukumaa.
  • @
    @abdulkiswanya51046 years ago Msukumanjoo huku ndio nyumbani mara kaa huko na wahuni wenzako, mara siwezi kuwa na namba ya muhuni, duh basi tu nimechoka.
  • @
    @yassininabwera626 years ago Huyu ndie mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wajoseph msukuma(nchi ihalalishe bangi)hivi kweli seriously huyu ni mbunge anatuwakilisha za nchi na pia kuisimamia serikali ilete maendeleo ya nchi! Kweli jamanibwana. ...Expand 19
  • @
    @eliajimmy51286 years ago Siku zote mwenye akili finyu hutukana badala ya kujenga hoja huwezi kuita chama upinzani ni genge la wahuni wakati vyama upinzani vinatambuliwa na katiba . ...Expand 6
  • @
    @ayubudtktv26846 years ago Da kweli lowasa mkuu unaogopeka mzee wamwennyewe anasema nchi hii hakuna wa kumgusa lowasa,
  • @
    @lameckzacharia44896 years ago Msukuma sjawahi kuacha kufuatilia clip zako coz ww nishuja wasiasa unajua kuwajibu wapinzani wa bongo. Ha et tuone mbwa ana ng' ata mwenye mbwa, pole . ...Expand
  • @
    @aloycemwakatala26346 years ago Unauza sura kwenye media kwaajili ya maneno mabovu namna hiyo? Na bado mwandishi wa habari anakusikiliza da ana roho ngumu.
  • @
    @UlimeA6 years ago Et genge la wahuni. Haya bana eti nyanya zimefyekwa na dc.
  • @
    @eliasobah62986 years ago Eleweka bhasi we mwanaume mara njoo mara hatukutaki, asa msimamo wako ni upi? Au hujui unachonena.