@kilmifenciozitha42034 years agoMy feverant artist i' m mozambique salamaleko. 11
@
@carentemu91413 years agoMungu am barikizaidi afkembariy kimuzik.
@
@dannymusictz94424 years agoDaah toka kwa bobjunior mpaka utajili huu sio kitoto. 16
@
@kabwelerywamwatumu50784 years agoMtangazaji umeongea kweli diamond ndo mpango mzima. 9
@
@jnaymichael57584 years agoDaaah uyu blood anajiwe kinoma an gari n za ghalama kinoma an.
@
@gazamerlvaxmukwano58444 years agoKakangu ya mbosso imeweza tena si wakusimulia. 1
@
@danielmunyao81874 years agoKwa burudani anayonipa diamond ni sawa yake kumiliki vyote avitakavyo. Kifupi napenda kazi zake sana. From kenya. 3
@
@shemsahemed35774 years agoMungu atawapa utajiri wenye kheri na wao. 1
@
@frediricknandonde16904 years agoMimi kila siku nasema wenye hela hawa wana mungu wao tofauti na sisi akina ujugu.
@
@lucasezekiel97824 years agoAnanifurahishaga lukamba yeye anacheza na cameraa 2. 1
@
@tresorkinyeshe69654 years agoKweli huyu msanii wetu diamond nikudume kweli watanzania wote mujipe furahahuyu kwenu tanzania piya vilevile na.
@
@barakashilumba11034 years agoIzo nguo za. Zuchu mh! Mungu atusamehe. Ata kama pesa.
@
@nenadurra84774 years agoMtangazaji kiswahili vepee, ni gari au gali? 7
@
@suleimanamani64134 years agoBro ni range rover si discovery gari aliopanda mosy yobo ni ile ya mama dangote alafu pardo moja ya mbosso nyingine ya mondi ile alio mpaga tanasha. 6
@
@Lovearator4 years agoMagari hayo yote ni ya thamani sana na lakini lile jeusi ni la bei ya juu sana. Kama sjakosea kwa mbali ni la pesa taslimu milioni 35 za kenya. 2
@
@sakiman88254 years agoNo need for many cars build schools with the money ur legacy will last for hundreds of years many kids will have brighter future those cars will eventually rust. 2
@
@jessicabrown58854 years agoKwanza umeanza kukosea kwenye gari ya mboso wakati ni ya bi sandra mboso ni prado tx limited.
@
@mussataliye78154 years agoWewe muadish huna ham wakuwa nao huo utajir. 9
@
@charlesmuhagama23584 years agoIyogar nyeusi inadhaman yamirion mianaishirni. 2
@
@rowlandmushi2694 years agoWe jamaa acha uongo mendes haendeshi discovery bana ni range rover sport.
@
@nuuhmkaly74584 years agoNahitaji au ninashida na no ya diamond platnumz.
@
@nansikilovele14244 years agoHahaa, ww mtangazajiwanaofanya mzikya kufanya km biashara! Hahaa tugari twingine twa watu wa upande wa pil mh! 1
@
@johnsonkillenga83894 years agoSiwezi kuishi maisha ya kifahari angali kuna watu wana njaa atakama nimebarikiwa zaidi ya hapo lazma niishi maisha ya kawaida ili nile na wenzangu.
@
@kelvinnidbaza47174 years agoHuyu jamaa mweu, izo gari anakata bima ya third party.
@
@abubakarikisuju53744 years agoHayo magari ni ya diamond ila kawapa wafanyakazilakini wakijiondoa wcb wanayarudisha. 7
@
@leticiatibanyenda2824 years agoWe ntangazaji hacha ujinga tafuta vya kwako.
@
@cartv50854 years agoMzee ni range rover hyo na si land rover bro " discovery ni land rover "
@
@rowlandmushi2694 years agoAlafu iyobo anaendesha gari ya mamaake mondy. 1
@
@yasinalli34064 years agoSio yote magari yake iyo range rover nyeupe ya sallam sk iyo land cruiser nyeupe ni ya mbosso iyo v8 nyeupe ni ya simba. 5
@
@leticiatibanyenda2824 years agoKm freemason kweli mungu anaona na hakiamua kuanza kutandika watu viboko ntalia wengi.
@
@michaelkessy57404 years agoThamani ya gari hayo, hadi uwone kwa ndani? Usibabaike na bodi.
@
@mrmago48704 years agoTukitaka kujua kama huu utajiri ni wa haki au laah. Kwanza tujiulize huyu diamond show moja ya nje analipwa sh ngapi? Na anafanya show ngapi za nje id="hidden5" kwa mwaka? Matangazo yanamlipa sh ngapi (pespi, parimatch n. K. Nadhani hapo ndo tutaelewa vizuri kuhusu pato lake je linamruhusu kumiliki magari kama hayo. ...Expand1
@
@chrismassawe3264 years agoUongo tu hana utajiri huo hanaa na ukitaka kuamini subiri akifa kama kanumba ndo utajua kumbe msanii ni msanii tuu.
@
@Mamatonny20654 years agoUshamba tu! Leteni mambo ya maana! Udaku haufai! Fanyeni kazi kwa bidii milango yote iko wazi! Msipoteze muda wenu hapo. 1
@
@othmanomar75704 years agoMwandishi utafirwa kw ushamba w magar ayo huku zanzbar tumechora taxi cc tunapakilia watu. 2
@
@alibinali_4 years agoWacha kuongea ujinga kaka sio poa be open be real hayo magari ni ya watu tofauti diamond salam lavalava mbosso sio diamond peke yake aliekuja hapo.
Related videos for UTAJIRI WA Diamond Platnumz na Team Yake Aongozana na Msafara wa MAGARI ya KIFAHARI:
gari aliopanda mosy yobo ni ile ya mama dangote alafu pardo moja ya mbosso nyingine ya mondi ile alio mpaga tanasha. 6
wakati ni ya bi sandra
mboso ni prado tx limited.