Duration 2:36

KERO YA HUDUMA YA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI

120 watched
0
0
Published 3 Jun 2018

Wananchi wa kata ya mwimbi wilayani Kalambo wamelalamikia kutumia gharama kubwa na kutembea umbali mrefu wa zaidi ya kilometa miamoja kufuata huduma ya kuhifadhi maiti katika katika majokofu kwenye hospitali ya mkoa kutokana na kukosekana kwa huduma hiyo kwenye hospitali ya wilaya hiyo.

Category

Show more

Comments - 0