Duration 1:27

DSTV WAZINDUA TAMTHILIA MPYA 'KARMA' WEMA SEPETU NDANI YA NYUMBA

52 watched
0
0
Published 31 Jul 2020

DStv kupitia Channel yake maarufu ya Magic Bongo imezindua rasmi tamthilia ya Karma ambayo ndani yake kuna wasanii maarufu Tanzania akiwemo Wema Sepetu. Wema Sepetu amefunguka kuhusu Tamthilia hiyo mpya na kuelezea mazuri yaliyo katika Tamthilia ya Karma.

Category

Show more

Comments - 0