Duration 5:5

Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani IWD2021

180 watched
0
4
Published 7 Mar 2021

Balozi, Dk. Gertrude Mongela amezungumzia usawa wa jinsia na wanawake katika uongozi alipofanyiwa mahojiano muhimu na kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa Dar es Salaam. Dk. Mongela alikuwa Katibu Mkuu wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Masuala ya Wanawake uliofanyika huko Beijing - China mwaka 1995 #GetrudeMongela #UNTZ #unicdaressalaam

Category

Show more

Comments - 0