Duration 15:2

MCB, Upandishwaji wa Madaraja na fedha za mkono wa kwa heri yote tumeyashughulikia Asema Seif

523 watched
0
8
Published 9 Oct 2020

Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania Mwalimu Deus G Seif amesema wao kama chama wanaendelea kufuatilia mambo mbalimbali yanayomhusu mwalimu ili kuboresha maisha. Ameyasema hayo wakati akiongea na walimu Mjini Lushoto Mkoani Tanga wkati wa uzinduzi wa ofisi ya Chama Cha Walimu Wilaya hiyo.....................

Category

Show more

Comments - 2