Duration 59:2

KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA : IBADA YA MORNING GLORY 05 / 01 / 2022

5 603 watched
0
102
Published 5 Jan 2022

KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA : IBADA YA MORNING GLORY 05 / 01 / 2022 KICHWA CHA SOMO: VITA LANGONI ( MWANZO WA MIEZI ) Wazo: "Endelea mbele, usikubali Kupunguziwa Mwendo" Waamuzi 5 : 8 Kutoka 12 : 12 - 13 Waebrania 11 : 28 Ufunuo 12 : 11 Waamuzi 5 : 8 8 Walichagua miungu mipya, Ndipo kulikuwa na vita malangoni; Je! Ilionekana ngao au mkuki Katika watu elfu arobaini wa Israeli? Kutoka 12 : 12 - 13 12 Maana nitapita kati ya nchi ya Misri usiku huo, nami nitawapiga wazaliwa wa kwanza wote katika nchi ya Misri, wa mwanadamu na wa mnyama; nami nitafanya hukumu juu ya miungu yote ya Misri; Mimi ndimi Bwana. 13 Na ile damu itakuwa ishara kwenu katika zile nyumba mtakazokuwamo; nami nitakapoiona ile damu, nitapita juu yenu, lisiwapate pigo lo lote likawaharibu, nitakapoipiga nchi ya Misri. Waebrania 11 : 28 28 Kwa imani akaifanya Pasaka, na kule kunyunyiza damu, ili yule mwenye kuwaangamiza wazaliwa wa kwanza asiwaguse wao. Ufunuo 12 : 11 11 Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana-Kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; ambao hawakupenda maisha yao hata kufa. Mhubiri : Mwl. Eng. Goodluck Mushi Kwa maoni na ushauri Smu :+255655516053, +255754516053 YouTube : Rev. Dr. Eliona Kimaro TV Barua Pepe: elionakimaro555@gmail.com

Category

Show more

Comments - 38