Duration 14:26

Mbunge Lijualikali Aangua Kilio Bungeni I Asema Amechoka Kutumika CHADEMA I Aomba Kujiunga CCM

53 486 watched
0
293
Published 18 May 2020

Mbunge wa Kilombero Peter Lijualikali akibubujikwa na machozi bungeni jijini Dodoma ameomba Chama cha Mapinduzi (CCM) kumpokea pale muds wake wa ubunge utakapokwisha akisema amechoka kuendelea kutumika vibaya ndani ya chama chake cha sasa #KutokaBungeni #CloudsDigitalUpdates

Category

Show more

Comments - 151