Duration 5:17

Mtazame Binadamu Anayekula Kuliko Wote

212 838 watched
0
438
Published 13 May 2018

/watch/QSXOqgId2nKdO Mtanzania anayekula kuliko wote, Ashiriki mashindano ya kula na kushinda.

Category

Show more

Comments - 72
  • @
    @renatusyuda42304 years ago Mwenye kofia, anakula bila kushindana, kwa mtazamo tu alienda kula ashibe tu.
  • @
    @josephchandi619210 months ago Anajitahidi sana ila hamzidi bwana kazoa.
  • @
    @nickalreadyknows5 years ago Hamjaona watu wanaokula ninyi tafuteni mtawaona hapo hata mimi nikikaza mkate na soda namaliza. 1
  • @
    @anithahassan61876 years ago Mmekosa kaz tu hivyo vyakula mgewapelekea maskin na nawazee c mgepata thawabu kuliko kukufuru hvyo. 2
  • @
    @chrismbalilaki24456 years ago Kuna moja hapo kama wa kwenye mambo na vijambo.
  • @
    @ifgodsayyes.nobodycansayno17966 years ago Wadada nao midomo kweli simnyamaze muangalie tuna macho midooomo ya nini. 9
  • @
    @siznic21566 years ago They should work hard. Hiyo kula inaeza sababisha wizi. 1
  • @
    @cosmasmkemwa93276 years ago Hao hawali kabiss mor tunamtuu anakula ndoo ya wali na soda cret anaemwitaj 0711259095. 1
  • @
    @magangamdogonengo28416 years ago Mbona hua hamfanyi mashindano ya kutomba. 2
  • @
    @biggamihayombotte1846 years ago Hahaha, cheka sana imenikumbusha miaka ya 20, unapewa pakiti ya karanga na soda juu, halafu jamaa anaanza kukimbia akirudi muwe mshamaliza. 5
  • @
    @yigalawrencekajwanjwa51856 years ago Poverty. Z. Such a bad thing honestly.
  • @
    @jackiewamboi19506 years ago Wanaume wazuri tu hivi mbona wanajiaibisha jamani? 1
  • @
    @renildevenerand82566 years ago Sasa watapata nini? Kwenye nchi za wenzetu ukiwa wakwanza nihela.
  • @
    @topnotchappliances96055 years ago Ujinga wa hali yao raha gani hyo kulaa kama ambaestupiddd.