Leo Tarehe 6/5/2020 yamezushwa maneno kwenye mitandao ya kijamii kuwa Sheikh Nurdeen Kishk amekufa, na hii imetokea baada ya Sheikh Nurdeen Kishk kupost picha ya msiba wa sheikh Kilemile wakiwa pamoja katika picha iliyotumwa katika mitandao ya kijamii ya sheikh kishk. SHEIKH KISHK YUPO HAI MZIMA WA AFYA KABISA TUZIDISHE KUMUOMBEA DUA
Category
Show more
Comments - 173
Related videos for SIJAFA NIPO HAI SHEIKH NURDEEN KISHK. UJUMBE WAKE LEO TAREHE :