Duration 2:46

DC NKUMBA ALILIA AMANI

72 watched
0
1
Published 4 Jul 2021

MKUU wa Wilaya ya Bukombe Said Nkumba amewaasa viongozi wa Dini zote kuimarisha Amani kujenga umoja mshikamano na upendano ambao utawafanya wananchi kuwa watalivu ndipo watajiletea maendeleo. Rai hiyo ya kuwaasa viongozi wa Dini Said Nkumba ameitoa kwenye ukumbi wa mkutano shule ya Sekondari ya Runzewe akihamasisha Amani. USISAHAU KU SUBSCRIBE CHANNEL YETU ILI UWE UNAPATA UPDATE MPYA KILA TUNAPO WEKA HABARI MPYA WAKATI WOWOTE BONYEZA HAPA CHINI KWENYE MAANDISHI YA BLUU /channel/UCcCo ... https://www.instagram.com/kahamatvonline/ #KAHAMATVONLINE #HABARIZAHIVIPUNDE

Category

Show more

Comments - 0