@bertinkimati26743 years agoMama nashukuru sana kwa moyo wako wa dhati ktk kuiendesha serikali. Mama nachoweza kukushauri ni kutokuruhusu watu wachache wenye mawazo ya uchochezi kukuharibia. ...Expand
@
@omarynyagali37743 years agoHongera sana mama yetu mpendwa mungu akulinde sana. 3
@
@dennisungonella2053 years agoMungu akutangulie mama yetu kwa kila jambo. 2
@
@eatlawe3 years agoHaki, uhuru, demokrasia na demokrasia vilivyokuwa vimepotea na kufa vinaanza kufufuka! 2
@
@jituakilimali153 years agoUraisi sio sehemu ya kurusha roho tumejifunza hatutorudia kosa hilo. 4
@
@chikiranathanael30973 years agoMama hekima ulio nayo naomba mungu akuongezee ili uzidi zaidi kua jasiri na kufanya kazi bila kiburi uko vizur sana. 1
@
@saumsaum19163 years agoUkisema dunia nzima wanakula idi wengine jumatano wengine alhamisi wengine leo ijumaa hakuna tarehe maalumu ya kufungulia.
@
@josephmakutano70673 years agoNianjema ninzuri lakini tuweke misingi yamaana ili akijamubaya imuzibiti bilajuhudi zakatibamupya tutaangaika miaka yote! 1
@
@saumsaum19163 years agoMbn wengine leo ndo wanakula idi km india leo ndo wana idi ya kwanza?
@
@yohanisshaibu38113 years agoMi siwezi sema uongo pole mama mimi sikukubali ata kidogo niliyemkubali ashafariki yeye ndiye aliyekuwa na mapya we huna lolote yote yalishakuwepo ikiwa pamoja na maneno matam ambayo hayana matendo. R. I. P jemedari.
@
@eatlawe3 years agoAsasi za kirai zijaendaeni kupumua sasa mana ni enzi ya mama kuwapa fursa kufanya kazi kwa uadilifu! 1
@
@joojombi23413 years agoHeading yako mbovu kabisa wee jipange tena kijana wacha kupotosha watu bhana.
@
@fortinatuswangubo9813 years agoMkuu wa mkoa wa mara hakusitahili kupewa nafasi nyingine maana alishindwa kushugurikia malalamiko ya wafanyakazi wa kampuni ya kiribo ltd.
@
@nzagambaog48433 years agoKaimbe mipasho wewe mama hakuna unachofanya ikulu. 1
@
@joojombi23413 years agoKenge mkubwa wee na heading yako mbovu maandazi mmja.
@
@sasha-ri7tf3 years agoAsalam alaikum eid mubarak. Mhe rais wetu samia suluhu hassan watimuwe nchini hao wa israel. 2
@
@fortinatuswangubo9813 years agoMh rais wa jamuhuri ya tanzania sisi wafanyakazi wa kampuni ya kiribo ltd tunaomba utusaidie tangu tarehe 04/06/2020 tuliachishwa kazi hadi sasa hatujalipwa. ...Expand
@
@yonaelikoinange19563 years agoWanao tumia lugha za matusi mheshimiwa rais toa tamko washughulikiwe ila wengine wajifunze kunyamaza. 1
@
@vitukoshow15613 years agoNi kweli ila inaonekana demokrasia hutoa mianya mingi ya watu kufuja hela za serikali ndio maana ilipokosekana madini yetu yalizuiwa, gasi yetu tuliitumia. ...Expand2
@
@machaggechacha34223 years agoWakati wote tz ina democrasy haki za binadamu na usaha wa wananchi ukilinganisha na hizi nchi za mabeberu na matapeli wazungu.
@
@bertinkimati26743 years agoMama nashukuru sana kwa moyo wako wa dhati ktk kuiendesha serikali. Mama nachoweza kukushauri ni kutokuruhusu watu wachache wenye mawazo ya uchochezi kukuharibia. ...Expand
@
@fortinatuswangubo9813 years agoMh rais wa jamuhuri ya tanzania sisi wafanyakazi wa kampuni ya kiribo ltd tunaomba utusaidie tangu tarehe 04/06/2020 tuliachishwa kazi hadi sasa hatujalipwa. ...Expand
@
@vitukoshow15613 years agoNi kweli ila inaonekana demokrasia hutoa mianya mingi ya watu kufuja hela za serikali ndio maana ilipokosekana madini yetu yalizuiwa, gasi yetu tuliitumia. ...Expand2
Related videos for SAMIA, Amuunga Mkono Tundu lissu Demokrasia, Haki na Usawa Ni Muhimu sana, Ameahidi Utawala wake: