Duration 5:52

HUYU NDIO MZARAMU WA SIMBA HAKAUKIWI MANENO, SIMBA IKISHINDA TU BASIIII

50 971 watched
0
333
Published 1 May 2021

Simba SC leo imepata ushindi wa 2-1 dhidi ya Kagera Sugar na kufuzu robo fainali ya Kombe la ASFC, baada ya mchezo huo tuliongea na mashabiki wa Simba SC.

Category

Show more

Comments - 35