Duration 8:36

MWANAUME alitoweka SIKU YA HARUSI yake,siku ya pili AKARUDI lakini JIBU LAKE lilishangaza DUNIA

30 594 watched
0
354
Published 18 Jun 2021

credit:Dailymonitor.com Lindaikeji.com

Category

Show more

Comments - 65
  • @
    @zubedamagambo96003 years ago Hapo ni kuachana tu. Aendelee na huyo aliekuwa nae siku hiyo. 7
  • @
    @Sppah6973 years ago Alienda kuaga kwa mwanamke wake wa zamani! 6
  • @
    @AliMohamed-kd1uc3 years ago Dada huna kitu hapa bado hakuna cha ndoa hapo. 2
  • @
    @janefrolakalinga56643 years ago Patrick noma alienda kuaga kwa mchepuko matokeo yake akaloekew nguo ili asitoke hahahaa dada huna mume apo pole sn. 4
  • @
    @nurafedrick3783 years ago Huyo alikuwa namwanamke inje alienda kumuagaa akafungiwaa ndani naifunguo zikafichwaa. Hapo ndoa hakuna tena. 3
  • @
    @fatmaabdalla85433 years ago Bibi harusi kuwa makini huyo bwana wako hana uaminifu. 5
  • @
    @livaliiog13043 years ago Like hapa kama umeipenda team bongo fastar. 14
  • @
    @rahmamngoya90443 years ago Mimi pado sija muelewa huyu mwanaume sijui nyie kama mmemsoma. 3
  • @
    @moureendaqueenqueen93523 years ago Harusi za siku hizi ni simu, heri customary marriage than certificate marriage. 3
  • @
    @salumsalum57123 years ago Mimi n albert einstein sasa twende kazi. 3
  • @
    @jescajulius80233 years ago Tena unabahati watu kama nyie mnafaa kukomeshwa kwa makusudi ili liwe fundisho kwa wote wanaoenda kuzin kabla ya ndoa. 1
  • @
    @annamwangaza6053 years ago Alirogwa kweli wanaume sio ila kwa kuact wanaweza lazima angefika arusini ushenzi mwingine ukaendekea.
  • @
    @jamilaezekiel61743 years ago Daa huyo alikuwa na mwanamke mwingine na ndio maana alikuwa na mawazo alienda kuagana nae akafungiwa mirango.
  • @
    @sharinv88643 years ago Kile naeza sema huyo mwanaume huwenda alikuwa freemason so hawakutaka afunge ndoa jamani ina vituko. 1
  • @
    @tamaraseff.97073 years ago Huez jua kihini cha dume uyu. Tumuachie yy tu. 2
  • @
    @joebanda54753 years ago Wanaweke niwachonganish mm slaumu patrick. 5
  • @
    @luciahmwai5673 years ago Ni wapi wamesema alikua kwa bibi mwingine, patrick alikua amechoka tuinaezatokea. 1
  • @
    @magrethmbuma30453 years ago Labda alirogwa huyu mbwa kwann asiende sikuzote kupumzika aende siku ya harusi mijanaume sijui ikoje yaani? 3
  • @
    @monicaalute31433 years ago Yaan mwanaume km huyu, dawa yke nikumzalia watoto 10 na wote hawatakuwa wake. Nitahakikisha kipindi cha mimba zote nitamsumbua, watoto wote atawalea na kuwasomesha vzr period.
  • @
    @shamzone3883 years ago Huyo bwana harusi alikwenda kwa kimada chake lakini alitiliwa dawa za kulaza ndio alilala mpaka siku ya pili.
    ukiwa ni mwanamme una kimada nje . ...Expand 3
  • @
    @shamzone3883 years ago Huyo bwana harusi alikwenda kwa kimada chake lakini alitiliwa dawa za kulaza ndio alilala mpaka siku ya pili.
    ukiwa ni mwanamme una kimada nje . ...Expand 3