Comments - 82
  • @
    @venitarugemalila92903 years ago Usione vyaelea kweli vimeundwa, poti na nyie mmeundwa ni, kumbe mmezivaa ila wengine wazee wa hizi kazi hahaaa salute kwenu. 4
  • @
    @alimakame92153 years ago Hngera dada ulovaanguo ya jechi upon vzur. 4
  • @
    @halimagoodgoodsimbahalimag29403 years ago Uyu dada aliyevaa z mabak saluti kwako. 1
  • @
    @ashurajengela39262 years ago Sijui ata kwanini nmejikuta nafurahi kutoka moyoni aloohh mmeua sana.
  • @
    @mtorosenga12723 years ago Hongereni saana, kafika ma dancer nimemuelewa sana huyo jamaa wa katikati na huyo dada mwenye bakabaka, pia katika waimbaji nimemuelewa rapa. 1
  • @
    @nyamwekomatoke99513 years ago Big up sanaa
    naona kuna chibongee anayasakata ile mbayaa
    hahaha
    mko vzr, saut nzr.
    1
  • @
    @danfordchingole68493 years ago I' m so missing this ngoma coy 822 kj. 2
  • @
    @imelidastevesteve51273 years ago Saf sana vijana mkikosa ajila mtakuwa wanamizikiii. 1
  • @
    @joycekalembo22253 years ago Safi sna? Makamanda angekuwepo raisi nae angesogea hapo kupiga ngoma kama kawaida yake. 3
  • @
    @venitarugemalila92903 years ago Waoowaowaoo safiii saaana sebene la mana natamani ningekuwa hapo kati wacha e wewee.
  • @
    @kasmirypaschal22283 years ago Nmeckiaa iyooo waiyonaaa iyooo big up makamandaa wetu.
  • @
    @venitarugemalila92903 years ago Unaniua mwenye baka wewee, wote good job sebene mwaaa. 1
  • @
    @samwelmwiru28273 years ago Vijana wetu wako vzuri wakiongozwa na matron wao, kongole sana. 3
  • @
    @mwananchipress35693 years ago Legacy ya baba wa taifa ilipaswa watanzania wote milioni 50 tupite hapo kusingekuwa na mateja wala wezi kwa kweli. 2
  • @
    @dintazdintaz73113 years ago Hako ka mabaka inabd kapande kawe kanakaa na mzanzibar aisee ili kamfunze mauno aisee nmekaelewa sanaa. 2
  • @
    @niyongabotherence89403 years ago Ukubali ukatae mimi naona mukongo hapo kama nawewe umeona gonga like. 1
  • @
    @venitarugemalila92903 years ago Waimbaji nao ila mmebana embu tupe vitu.
  • @
    @taturajabu59773 years ago Huyo, wazili wa ulinzi! Hapana chezea.
  • @
    @georgekimasaofficial16293 years ago Big up sana makamanda wetu mmetisha pongezi kwenu. 2
  • @
    @dausonjohn66583 years ago Wee pic kali nishda kama hujaolewa nipo kwajili yako.
  • @
    @venitarugemalila92903 years ago Wenye magitaavyombo wapi nyie twende kazi. 1
  • @
    @felixmagulu61423 years ago Hongereni sana, baba wa taifa aliacha alama kubwa sana, alihakikisha majeshi yote na mashirika ya umma yanakuwa na bendi za muziki wa dansi, lakini bendi nyingi zimeshakufa zimebaki chache sana. 1
  • @
    @anytimeanyplace96073 years ago Mkisha kafiraneni. Msio jielewa unuusu. 1
  • @
    @eliabuedward87553 years ago Tanzania securities you don' t have a gospelkwa wenzetumungu pia na kutangaza ukuu wake. Mungu kwanza, na ingefaa kama jeshi na vyombo vyetu vya ulinzi, 5