Duration 14:57

Mazoezi ya tumbo ya kusimama bila kifaa Nakupa company // standing ab workout at home follow along

1 467 watched
0
24
Published 16 Sep 2019

Leo tutafanya mazoezi ya tumbo bila kukaa wala kulala na Kama hauna company hii video ni kwa ajili yako, tutafanya kila zoez kwa sek 45 na kupumzika kwa sek 15, ukimaliza mazoezi yote utakuwa umeburn calories 200 jitaidi ufanye mpaka mwisho. . Vyakula vya kuepuka kupunguza tumbo /watch/4-wYFnQHB-_HY Instagram :Joanfitness TV Email :isaacjoanalliance@gmail.com

Category

Show more

Comments - 12