Duration 2:46

Waitara achukizwa wizi wa mafuta mradi wa SGR

410 watched
0
3
Published 25 Dec 2021

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amechukizwa na vitendo vya wananchi wanaozunguka eneo la mradi wa ujenzi wa reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Isaka- Mwanza kituo cha Malampaka wilayani Maswa Mkoa wa Simiyu kuiba mafuta ya kuendeshea magari na mitambo ya mkandarasi anayetekeleza ujenzi huo.

Category

Show more

Comments - 1