Duration 3:58

MKE WA JAMAA ALIYEKATWA MASIKIO AMTETEA MUME WAKE NIMEFUNGA NAYE NDOA

15 939 watched
0
78
Published 14 Mar 2021

Baada yakupita siku kadhaa tangu Ibrahim Fadhili mkazi wa kata ya Magugu mkoani Manyara akatwe masikio yake mawili baada yakukutwa na mke wa mtu mke wa Ibrahim amefunguka nakusema mme wake ni muwazi kwake na hajawahi kuwaona wakiwa kwenye mahusiano kwa kuwa ameishi naye kwa miaka miwili

Category

Show more

Comments - 105