Duration 2:44

Uyu ndo mwandishi aliyesababisha video mpaka DC na DED wa morogoro wakatumbuliwa na rais samia

415 watched
0
12
Published 15 Jun 2021

RAIS Samia Suluhu, Leo Juni 15 amewasimamisha kazi mkuu wa wilaya pamoja na mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro baada ya video kusambaa mitandaoni ikionyesha mgambo wakiwafanyia fujo wafanyabiashara wadogo wadogo (Wamachinga)

Category

Show more

Comments - 1