#RipotiYaLeo #EFM #VeronicaSimulizi #SimuliziZaMaisha #SaveiMedia
Simulizi hizi huruka katika kipindi cha #Ubaoni cha EFM katika sehemu ya Ripoti ya leo, na kusimuliwa na Veronica Frank hivyo wao ndio wamiliki wa simulizi.
@samwelsanga53393 years agoNilikuwa mvivu sana kusali,kwa huu ushuhuda wa dada ruthi, jumapili hii naenda kutubu kanisani 13
@
@winnievincent90633 years agoAcheni Mungu aitwe Mungu na Mungu ni wawakati. 3
@
@latifaonesmo76293 years agoAyo maisha yapo kama ndugu wa mume awakutaki bora uachane na uyo ndugu yao unadhani mateso aiyopata nimakubwa ayaelezeki mm mama yang kafa kwaajili yaao ndugu wamume walimfanyia uchawi wa dhahiri sio wakificho tuombe tu mungu atupe waume sahihi na family zao ...6
@
@zainabumbondei86353 years agoMwenyezi MUNGU mkubwa jamani pole sana Ruth Kwa yote ulopitia nimejifunza mengi sana kupitia ww nnaimani ndungu yangu pia ipo siku ataamka kwauwezo wa Allah 2
@
@agnesskisima22493 years agoMungu akuponyee Ruth ebu mlilie munguu kilio chako
@
@angelamringo67053 years agoNimetiwa nguvu Sana na ushuhuda huu,hasa katika pito langu ninalopitia...hakika Mungu ni mwaminifu kwa wamtumainio.Pole Sana dada Ruth. 1
@
@agnesskisima22493 years agoAsante mungu hukawah kuchelewaa Wala kuwah Asante kwauponyajii asanteeungu wanguu asantee mfalme waamanii mungu naomba utukumbukeee asantee mungu unajibu kwa wakatii Asante mungu wanguu asantee mfalme waamanii asantee elishadai asantee baba wayatimaa juu ya binti huyu juuu yat Mtotoo wakee wewe watoshaaa munguu kamfunike kwadamuu yako malaika wako wamuatamie yesuu ...
@
@nafikisha32443 years agoPolee sanaa Ruth ila Mungu anajivunia wewe uling'ang'ana nae mbaka mwishoo 1
@
@ilhamjulioo96553 years agoDah mungu wewe ndiwe wakutumainiwa siku zote lucha ya magumu 1
@
@oscarowenya343 years agoMungu wangu wa mbinguni nikumbuke na mimi katika mihangaiko 1
@
@joycekazungu40033 years agoAcheni Mungu aitwe Mungu maana hakuna ajuae Kesho yake kila mwanadamu Kesho yake iko mikononi mwa mungu 2
@
@doricuswistone21793 years agoMungu anajibu Kwa wakati wake asante Sana # dada vero na pole sana# ruthi
@
@lizzybeth63443 years agoNakushukuru mungu wangu kwa sabu ya Ruth cz cku zote naamini kesho yangu Ni njema,ata ninayo yasikia naaamini kesho yangu Ni njema
@
@rosekileo93893 years agoDada vero asante san na mungu akutie nguvu uzidi kutuletey similinzi maan zinatujenga san
@
@leahdaniel2713 years agoWamtumainio MUNGU ni kama mlima sayuni hautatikisika kamwe 1
@
@neymseluka20773 years agoZiko nyakati nilihisi sina thamani,kwa simulizi hii, MUNGU amenipa thamani,Ruthi MUNGU atakutetea mbele ya adui zako
@
@joelmarco45543 years agoHakika mung ni mwem Kila wakat na Kila jarib Lina mlang wake wakutok na wakuingia pol San da ruthi kwa changamot uliopitia pia da Vero tuk pamoj kwa mafundisho zaid
@
@violethmalonga29283 years agoMungu ni mwaminifu Sanaa tusichoke kumuomba🙏
Related videos for RIPOTI YA LEO (RUTHI SEHEMU YA 05 - MWISHO):
Mtotoo wakee wewe watoshaaa munguu kamfunike kwadamuu yako malaika wako wamuatamie yesuu ...