Duration 24:41

Tanzanian opposition MP, Tundu Lissu addresses media in Nairobi

406 233 watched
0
721
Published 5 Jan 2018

Tanzanian opposition MP, Tundu Lissu addresses media in Nairobi after being hospitalized for 4 months SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: / Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Category

Show more

Comments - 182
  • @
    @mamafaiza26514 years ago Nalia nikikumbuka duh mungu nimwema
    mungu akupe maisha marefu yenye khery
    ameen
    nakupenda sana kiongozi wangu.
    2
  • @
    @deodbenngowi20394 years ago This man if he did not know who attacked him he will not have allowed him to hide from being questined by the authorises he declared by saying him with . ...Expand
  • @
    @baranmohamedmbashir52994 years ago Mungu akubariki inshallah akupe afya njema inshallah. 6
  • @
    @scholatitus49636 years ago Rais magufuli hana haja ya kukushambulia. Umezungumza ujinga mwingi sana. Wachunguzi walioletwa kenya kuchunguza kifo cha ouko tuelezee, baada ya uchunguzi . ...Expand
  • @
    @kingfahdsaid19676 years ago Pole lissu mungu akueke. # Usiwache kusema kweli. 7
  • @
    @bakariramadhani8284 years ago Tunashukulu kwakuludi ukiwa mzima mungu awenawe daima. 3
  • @
    @macksonjuma51804 years ago Kama uko hapa kuhakikisha, kulingana na kampeni zinazo endelea. Weka like. 4
  • @
    @stivngosha10634 years ago Sema kabisa usiogope mungu yupo atakupigania. 3
  • @
    @marykawira92666 years ago God is great, you will live to testify goodness of god, god loves you, muheshimiwa, devil is alier and loser. 6
  • @
    @edmundykusena97284 years ago Niko hapa_2020 kqma nawewe upohapa tafadhali tujuane. 1
  • @
    @gilbertjuma72946 years ago Tunakuombea upone kabisa urudi upige kazi tz. Tunakuhitaji sana. 3
  • @
    @sylvanuskavindi27564 years ago Zilikuwa siku mbaya sana kwangu, ilinisikitisha sana, fuatilia sauti yake lissu hapa ilivyokuwa inatoka ikiwa chini kwa sababu ya kutobolewa vibaya tumboni. Lkn mungu ni mkuu daima. 1
  • @
    @thelylwishi23324 years ago Maishaa so w vi na damu.
    maisha ni mungu tu.
    2
  • @
    @bathromeombusibwaconrad25464 years ago Smg ninayoijua ungeishia risasi moja tu, hapa kuna jambo.
  • @
    @jimmy242766 years ago Inauma sana kwa waliohusika na kama wanasikia ujumbe huu waanze kutubu, siku zao zaja na watauona uwepo wa mungu. 9
  • @
    @mamadfranc23716 years ago Tumuachie mungu! Maana yy huhukumu kwa haki. Tuendelee kuomba. 5
  • @
    @frankmosha58544 years ago Kupigwa kwa huyu jamaa ni doa kubwa mbaya zaidi watu wasiojulikana aingii akilini ila mjue mungu yupo. 5
  • @
    @kiangurajason7933 years ago God is great. Ulipona lissu. Aliyekufa ni yeye: magufuli.
  • @
    @thelylwishi23324 years ago Na ku ona kama yesu christ. Ume pigwa kama yesu christu na mungu baba yako, ame kurudisha duniyani ku okowa wa tanzania.
    be strong president, mdaa so mlefu.
  • @
    @kibwanambegu95724 years ago Yaani kweli hajui maana ya intenal medicine kwa kiswahili au mbwembwe.
  • @
    @frankmosha58544 years ago Ila mliompiga mjue maalipo ni hapa dunia. 1
  • @
    @musamutambuki41546 years ago Hakika mungu ni mkuu na ni tabibu wa kweli. Tunakutukuza ee mungu kwa kuwa fadhili zako ni za milele maana umejibu maombi yetu kwa kumponya kiongozi wetu mpendwa tundu lissu. 22
  • @
    @fatumayusuf59296 years ago Weka security kali bcoz watakurudia tena they willi not stop. 7
  • @
    @mtendakaziwabwana8456 years ago Itapendeza mkiupload video ya muendelezo wa kipindi cha maswali na majibu kwenye hii press. 2
  • @
    @tracyjustice16006 years ago Tanzania is going down the drain, it' s no longer a safe place to be. Sad. 7
  • @
    @amosmoses78004 years ago Jpm: nimekueteni hapa ili tupange mikakati mingine ya kushinda uchaguzi. Nawaoneni hamtumiki kamanataka kujua tatizo lipo wapi?
    />ali bashiru:
    mheshimiwa mwenyekiti; mbona tunafanya juhudi kubwa ata tunakosa kulala. Ivi tunawabeba wananchi kutoka vitongoji mbalimbali kuja kwenye kampeni zako; kwa mfano kule mwanza tulikosa watu kabisa ikabidi tuwagalimikie watu kutoka mikoa ya geita / shinyaga na kuwaokota okota humo vijijini hadi mwanza ili tuongeze idadi ya watu. Mheshimiwa.
    bila ya ivo. Tutakuwa sisi tunaobaki kukusikiliza.
    polepole: mheshimiwa m/kiti nikiongezea hilo. Tumekuwa tukiwafata wasanii. Na tunashukulu. Wametupa ushilikiano mzuri. Ila tu malipo yao bilioni 200 bado hawajalipwa. Mheshimiwa kinana anasema tuwaalike pia waimbaji kutoka congo. Tutapata washabiki wengi. Au unasemaje?
    jpm: embu kwanza naona kuna simu ya rostam ananipigia kutoka dubai. Hallo!
    ****
    rostam: halloh! Mheshimiwa m/kiti habali za tokea jana. Nakualifu huku mambo nimeshayasuka. Tumeelewana na mheshimiwa membe. Na hela zake kasema zibaki kwenye akaunti yake ya nje. Anasema atatekeleza yale maagizo yetu akitua tu huko bongo. Ccm oye.
    jpm: asante sana rostam. Uko vizuli. Nataka uyo membe asaidiane na lipumba. Kuzichafua atc na cuf, ila mambo mengine yanakuwa magumu kwa vile yule kamanda wetu mzee mkapa hatunae tena. Mzee mwinyi anasinzia ovyo. Mzee kikwete na mzee makamba wamenisusa. Sijui ataniokoa nani!
    igp sirro:
    mheshimiwa laisi. Vijana wangu wapo tayali kwa lolote. Wanasubili amri yako tu. Kama nikutumia lisasi au mabomu tutazitumia kwa ajili yako. Mheshimiwa.
    jpm:
    ni kweli. Embu nikusikilize jaji kaijage. Unasemaje? Naona unakuna kichwa.
    jaji kaijage: mimi naona kuna ugumu wa kuiba kula kwa kipindi hichi. Maana kuna madai hadi muda huu tumeshindwa kuwapa majibu. Wanadai kwanini ni wao tu watenguliwe kuanzia udiwani hadi ubunge. Na kwa upande wetu hakuna ata mmoja tuliemtengua.
    jpm: acha iwe ivo. Watanielewa tu! Wanalalamika kujenga kiwanja cha ndege kijijini kwangu chato. Mimi si nimefata nyayo za
    mzee mkapa ameekeza hadi afrika kusini ana mahoteli yake kule. Mzee kikwete nae amejenga sana kwao msata. Na majumba kibao kwa jina la mtoto wake rizwani. Ivi trilioni 1. 5 nikichukua kuna ubaya gani?
    naomba tu haya mambo tusiyafikishe huko nje. Yule jamaa akifahamu atatushambulia kwa mikuki ya chuma!
    channel ten: mheshimiwa laisi. Lakini hicho kimbunga si chakawaida. Huko tunduma. Mbeya. Mwanza. Njombe. Japo umetukataza tusikalibie kwenye kampeni zao wala kuzilusha, lakini hicho kimbunga cha lissu kinasikika hadi ulaya. Hadi marekani. Sisi wote tunatekeleza agizo lako kwamba tusilushe kampeni zao. Tatizo wanachukuaga kwenye simu zao.
    jpm: embu nisubilini kidogo. Naenda kujisaidia.
    . ...Expand
  • @
    @jacksondaud49574 years ago Sema baba semaukweli unaoumiza kuliko uongo unao flahisha, maana nisumu nainaua.
  • @
    @fatumayusuf59296 years ago Fatubensuda please go to tanzania magufuli anafaa afungwe. 3
  • @
    @fredrickwanjala7414 years ago Hi that' s astupid way of political assassination. 1
  • @
    @godshanthomas32974 years ago Nenda huko pumbavu unajipiga lisasi alafu unasema serekali we chizi 2 moja acha ujinga wako.
  • @
    @godshanthomas32974 years ago Sikupendi ata bure mwenda wazimu ww sasa unawambia ndio nn ifanyike kwenda.
  • @
    @lgf72974 years ago What is kaka mkubwa? This fellow harbours disdain for everyone and everything except himself. There he goes, a harangue!
  • @
    @evancemuhenga56966 years ago Tanzania is really becoming a terror and bloody nation.. Kidnapping of opposition individuals, Notable People dissapearing, more than 1000 children at kibiti dissaperaed, dead bodies found in the rivers, press and media centers getting oppressed by the feds, the increasing rate of unemployment, . Tusikate tamaa .. ...Expand 6
  • @
    @jarednyakomitta65706 years ago It were better if he was criticizing him from his too,we have had assassinations but we dont address the issues from Tanzania! 1
  • @
    @lucaskabadi85194 years ago Wewe jama unapoelekea unaenda kuwa chizi sion point hata kidoti. 2
  • @
    @thekingbudah37114 years ago Madiwani wako wameuwa lazima utalipa mmbwa wewe.
  • @
    @teddykanondo57534 years ago Watanzania tusikubali kuburuzwa hawa CCM wana njama gani wanataka kuifanya ndani na nje ya bunge hawataki viongozi wa upinzani tunaowapenda. Hata kama CCM hawataki Lissu awe Rais iweje hata Madiwani na Wabunge wa upinzani hawatakiwi na vipenzi vya watu kwenye maeneo yao. Kuna jambo gani limejificha wanataka kutufanyia Watanzania. Tusikubali kuchaguliwa viongozi kabisa. Wanataka Tanzania liwe koloni lao alafu mbaya kabisa Magufuli anatukosanisha na Majirani makusudi wasijue tunachofanyiwa ndani ya Tanzania. ( . .. ...Expand
  • @
    @manungda99554 years ago Chedema mnatengeneza senema yenu ili tanzania ionekane haina amani mbele ya dunia, toa tu shukurani kwa hao wakenya wenzako mambo mengine ya tanzania haiwahusu hao wakenya wako.
  • @
    @kiangurajason11832 years ago Jehovah is god. Your tormentor died like the fool he was. Eti hakuna corona and the same corona despatched him to where he belonged: hell. Big up tundu lissu.
  • @
    @johnfrancis68904 years ago Kwann usingekufa tu maana ckupend hata kdg. 1
  • @
    @gracetitus99635 years ago The gun man is standing near him dressed in black. 1
  • @
    @thekingbudah37114 years ago Na yule uvccm mliomua c mtu ata wewe ungekufa tu unafaida shertani.
  • @
    @kichenjekichenje20724 years ago Wataje hao watu, acha upumbavu wew. Cheki unavoweka vidole, kama shoga.
  • @
    @jamesmasome3594 years ago Mnapigana risasi wenyewe unasingizia serikali. Nyambafu. 1
  • @
    @yassiniferuzi28674 years ago Rais wa makuwadi na mabeberu na ushoga.
  • @
    @jackhans77084 years ago Tatizo ni kwamba walikoseahilo domo, risasi 38na mtu yupo hai! Naa.
  • @
    @lucaskabadi85194 years ago Watanzania hawakutaki hata kidogo kibaraka mkubwa na kwanini upande ulioumia ni mguu wa kulia na hapo dereva hajaumia hata kidogo inakuwaje hapo wewe ni zuzu kabisa hupati kula hata moja mzee hizo ni kelele la chula.
  • @
    @jackhans77084 years ago Kuna wakati kama kuna mtu anataka kua malaya dawa yakejamaa hajavujwa kiuno kwa risasi, lakini tunajua umefanywa nini ubelgiji.